Waziri wa uhamiaji David Coleman amesema viza hizo mpya, zitajibu mapengo ambayo wahamiaji wamekuwa wakifanyia kampeni yajazwe.
Aina tatu za viza zatangazwa

Msafiri atumia kifaa kipya cha teknolojia kuvuka mpaka Source: Getty Images
Serikali ya shirikisho imetangaza makundi matatu mapya kwa viza, kwa ajili yaku tosheleza mahitaji tofauti ya vikundi vya wahamiaji nchini Australia.
Share