Bw Tim ni mwakilishi wa kundi hilo, katika mazungumzo maalum na SBS Swahili ali tueleza kuhusu maandalizi ya kundi lake ambalo, lili alikwa kuonesha miziki na tamaduni ya jumuiya ya Mulembe kwa wakaaji wa Melbourne, Victoria.
Bw Tim aliweka wazi pia umuhimu wa kundi lake kuwajumuisha watoto, katika maonesho wanayo fanya.
Kwa taarifa zaidi kuhusu kundi la Mulembe na jinsi waku wasiliana au kuona baadhi ya kazi zao tembelea:
Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.