Timmy TDAT atafanya ziara yake ya kwanza nchini Australia, ambako wapenzi wa mziki wake watajumuika katika ukumbi wa Himalayan Emporium mjini Bankstown, NSW kwa tamasha ambayo msanii amesema itakuwa "burudani ya hatari ya decade".
Timmy TDAT"Nakuja kuwapa burudani hatari ya decade Sydney"

Nyota wa mziki wa Kenya Timmy Tdat Source: Timmy Tdat
Msanii maarufu kutoka Kenya Timmy TDAT, amefunguka kuhusu changamoto na mafanikio yake katika mziki.
Share