Miji ya kandani na vijijini, yapata msaada kuwavutia wahamiaji

baadhi ya maduka katika kijiji cha Rupanyup, jimboni Victoria Source: Google
Kifaa kipya kime undwa kwa ajili yakusaidia kuwavutia wafanyakazi ambao ni wahamiaji katika maeneo ya kikanda na vijiji.
Share