Turnbull azua tumbo joto ndani ya serikali tena

Former Prime Minister Malcolm Turnbull has in a series of tweets expressed his views on the candidacy of Craig Kelly.

Former Prime Minister Malcolm Turnbull has in a series of tweets expressed his views on the candidacy of Craig Kelly. Source: AAP

Get the SBS Audio app

Other ways to listen


Published

Updated

By Sonja Heydeman
Presented by Gode Migerano
Source: SBS


Share this with family and friends


Hatua ya waziri mkuu wa zamani Malcolm Turnbull kuingilia kati hadharani, siasa za chama cha Liberal iwapo chama hicho kina stahili mlinda mbunge Craig Kelly, dhidi ya mchakato wa uchaguzi ndani ya chama.


Bw Turnbull ame hamasisha chama tawala ichukue hatua dhidi ya Bw Kelly, baada ya mbunge huyo kutishia kuhama chama hicho nakuwa mbunge huru, hata hivyo viongozi wa chama hicho wa NSW, wame mpendekeza kama mgombea wa chama cha Liberal katika eneo bunge la Hughes.

Bw Turnbull pia amemhamasisha waziri mkuu Scott Morrison, aitishe uchaguzi mkuu mapema kwa ajili yaku linda serikali ya Liberal, isishindwe katika uchaguzi wa NSW.


Share