Kielezo kingine kitachapishwa Disemba mwaka huu. Ila ubaguzi katika sehemu ya kazi ni nini haswa?
Ubaguzi katika sehemu za kazi ni nini, na unastahili fanya nini ukiwa mwathirika?

Mwanaume afanya kazi Source: Pexels/Ron Lach
Kila miaka mbili, shirika la Diversity Council of Australia, huchapisha vielezo vya ujumuishaji kazini, ambayo ni utafiti unao mulika maswala ya ujumuishaji, unyanyasaji na ubaguzi katika nguvu kazi kote nchini Australia.
Share