Mageuzi ya upinzani wa mseto kwa huduma ya umma yalikuwa sehemu kuu ya jukwaa lake la uchaguzi... kukata ajira elfu 41,000, na kuacha kufanyia kazi nyumbani.
Mpango wa awali ulikuwa kulazimisha wafanyakazi wa umma warejee ofisini siku tano kwa wiki, kama watashinda uchaguzi mkuu ujao.
Ila katika wikendi iliyo pita, Peter Dutton alisema alikuwa ana maanisha tu wafanyakazi wa umma mjini Canberra.