Rasilimali nyingi zipo kwa ajili yaku kusaidia kujisajili kupiga kura, na kutoa maoni yako katika harakati yaku unda nchi yetu.
Uchaguzi wa shirikisho ni fursa ya kutoa maoni yako kwa kupiga kura, kuchagua serikali ya Australia. Shughuli hii hufanyika takriban kila miaka mitatu.
Tembelea tovuti ya aec.gov.au au tembelea ofisi ya AEC, iliyo karibu ya unako ishi kujisajili kwa wakati kushiriki katika uchaguzi wa shirikisho wa 2025.