Utapeli wa kawaida unajumuisha kusaka taarifa binafsi, kuemea mtandaoni na utapeli wa malipo ya wastaafu. Hivi ndivyo unaweza tambua utapeli, na jinsi yakujilinda.
Scamwatch ni tovuti inayo simamiwa na tume ya watumiaji na ushindani ya Australia, na tovuti hiyo hutoa taarifa kwa watumiaji na biashara ndogo ndogo kuhusu jinsi yakutambua, kuepuka nakuripoti utapeli.
Tovuti hiyo imepokea zaidi ya ripoti 6,415 kuhusu utapeli, malalamishi mengi yakitaja coronavirus na zaidi ya dola milioni 9,800,000 zikiripotiwa kupotezwa tangu mwanzo wa mlipuko wa janga la UVIKO-19.