Mjini Perth, Magharibi Australia shirika la Kitwek limekuwa kituo cha kwanza ambako wanachama wa jamii hiyo, hubisha kupata huduma waanazo hitaji.
Jumapili iliyopita viongozi wanachama walijumuika katika hafla maalum, iliyo hudhuriwa na mgeni mheshimiwa Dr Mchungaji Kimeto.
Katika mazungumzo maalum na SBS Swahili, Katibu Mkuu wa Kitwek Bw Vincent alifunguka kuhusu yaliyo jiri katika hafla hiyo. Kwa taarifa zaidi kuhusu Kitwek na huduma wanazo toa, bonyeza hapo chini.