Makala haya ya mwongozo wa makazi, yana chunguza anaye stahiki kuomba viza ya jamaa wa yatima (subclass 117).
Viza ya Jamaa wa Yatima: Nani ana stahiki kuiomba?

Mtoto akumbatiwa katika uwanja ndege Source: Getty Images/Symphonie
Visa ya jamaa wa yatima (subclass 117) ni moja ya chaguzi kadhaa za viza kwa wahamiaji ambao wangependa ingia Australia.
Share