Mkutano huo ulikuwa fursa wa jamii zote mbili, kujadili baadhi ya uzoefu ambao jamii hizo zinachangia iwapo ni ubaguzi wa rangi, ukosefu wa fursa na kadhalika.
Baadhi ya wadau walio hudhuria mkutano huo wali changia maoni yao na Idhaa ya Kiswahili ya SBS, kuhusu waliyo jadili nakujifunza kutoka washiriki wenzao.