Ni sehemu ya mipango ya chama cha Labor kufanyia mageuzi mradi wa uhamiaji ambao, utahusu pia wanafunzi wakimataifa wakipewa haki yakubaki nchini nakufanya kazi baada yakuhitimu.
Waziri wa Kilimo Murray Watt, alieleza shirika la habari la Sky kwamba, kuharakisho mchakato wakuwasili kwao ni kipaumbele.
Hakuna shaka wiki ijayo, inatarajiwa kuwa ngumu katika eneo la Capital Hill.