Wahamiaji wanahitaji taarifa gani kabla waje Australia?

Wakala wa uhamiaji azungumza katika mkutano wa jumuiya ya wakenya wanao ishi mjini Sydney, Australia..jpg

Kila mwezi makumi yama elfu ya wahamiaji huwasili katika miji mbali mbali nchini Australia.


Baadhi yao huja kusoma, wengine huja kuanza maisha mapya pamoja nakufanya kazi.

Jumuiya ya wakenya wanao ishi mjini Sydney, NSW walikuwa na mkutano ulio toa fursa kwa wanachama wa jumuiya hiyo kuzungumza nama wakala wa uhamiaji pamoja na wataalam wengine. Waziri wa maswala yakigeni wa Kenya Dr Alfred Mutua, alikuwa miongoni mwa wageni walio zungumza kwenye mkutano huo.

Punde baada ya mkutano huo SBS Swahili ilizungumza na baadhi ya wanachama walio jumuika katika mkutano huo ambapo walifunguka kuhusu baadhi ya kero zao pamoja na kutoa pendekezo kadhaa.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.

Share