Wakenya wafunguka kuhusu visa vya utekaji nyara

Inspekta Jenerali wa Polisi wa Kenya Douglas Kanja, akiwa pamoja na viongozi wenzake

Vyombo vya usalama nchini Kenya vina endelea kushtumiwa kwa visa vya utekaji nyara.


Hata hivyo, viongozi wa vyombo vya madola nchini humo, wame kana shutma hizo waki dai hawajui wanao fanya utekaji nyara huo pamoja na sehemu mateka husika walipo.

Katika mahojiano maalum, SBS Swahili ilizungumza na baadhi ya wakenya wanao ishi Australia walio funguka kuhusu visa hivyo.

Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.

Share