Wanafunzi wakimataifa walengwa wakuu wa mageuzi ya uhamiaji nchini Australia

International Students

Credit: bestressnomore.wordpress.com

Serikali ya shirikisho imewasilisha mageuzi kadhaa kwa viza za wanafunzi wakimataifa, kama sehemu ya mageuzi makubwa ya uhamiaji yaliyo tangazwa Jumatatu 11 Disemba 2023.


Mkakati huo wa miaka kumi, unalenga kupunguza nusu ya uhamiaji wa jumla, wakati huo huo unawavutia wafanyakazi wenye ujuzi mwingi pamoja na wafanyakazi muhimu.

Serikali imekuwa chini ya shinikizo kuhusu mgogoro wa gharama ya maisha na, uwezo wa kumudu nyumba unazidi kuwa mbaya.

Kati ya wasiwasi huo, serikali imezindua mpango wake wa mkakati mpya wa uhamiaji.

Share