Wanaume jimboni Victoria wapata sehemu salama yakujumuika nakuchangia uzoefu wao

Bw David Kamande Mwenyekiti wa Men's Cave Forum.jpg

Mwenyekiti wa Men's Cave Forum Bw David Kamande aki wahotubia wanachama wake.

Ni nadra kupata kundi au shirika linalo wahudumia nakushughulikia maswala yanayo wakumba wanaumi katika jamuia.


Wanaume wenye asili ya Kenya katika jimbo la Victoria, wali anzisha kundi kwa jina la Men's Cave Forum, ambalo hutumiwa kushughulikia maswala mbali mbali yanayo wakumba wanachama wake.

Katika mahojiano maalum na mwenyekiti wa kundi hilo Bw David Kamande, ali eleza SBS Swahili jinsi kundi hilo lilivyo anza na hatua ambazo lime piga kutoka wakati huo.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.

Share