Wanaume wakaribishwa kuchangia chakula na kutafuta suluhu za changamoto zao

Bango la mkutano wa wanaume jimboni Victoria.jpg

Ni nadra kupata kundi linalo shughulikia maswala ambayo huwakabili wanaume nchini Australia.


David Kamande ndiye Mwenyekiti wa shirika la Men Cave Forum, lenye makao makuu mjini Melbourne, Victoria.

Katika mahojiano maalum na SBS Swahili, alifunguka kuhusu maandalizi ya mkutano anao waandalia wanaume Jumamosi 3 Februari 2024 katika kanisa la Baptist la Essendon.

Mkutano huo uta anza saa tatu asubuhi na tamati yake itakuwa saa tisa mchana.

Kwa taarifa zaidi kuhusu mkutano huo bonyeza hapo juu na tembelea:
www.kcv.org



Share