Je, unakumbuka ulipo mwona mpenzi wako mara ya kwanza? alikupokea ulivyo tarajia, au ilibidi uboreshe mstari yako kabla ujaribu tena?
Wanandoa Levi na Wangeci Kones wamefunguka kuhusu ndoa yao, pamoja na walivyo kutana na pandashuka ambazo Bw Levi alipitia kabla maombi yake yajibiwe na Bi Wangeci.