Wasafiri wengi zaidi na watu wenye viza kutoka ng'ambo wanaweza rejea Australia

Wasafiri kutoka ndege ya Singapore, wawasili katika uwanja wakimataifa wa Melbourne, Jumapili, Novemba 21, 2021

Wasafiri kutoka ndege ya Singapore, wawasili katika uwanja wakimataifa wa Melbourne, Jumapili, Novemba 21, 2021 Source: AAP

Mpango wa serikali ya shirikisho wakufungua nchi, unakaribia ingia katika awamu nyingine.


Waziri Mkuu Scott Morrison ametangaza mipango yakuwaruhusu wasafiri wengi na watu wenye viza kutoka ng’ambo, waingie nchini baada ya karibu miaka mbili yakutoweza kuingia nchini.


Share