Je ni vitu gani ambavyo wazazi na wanao fikiria kuhamia katika miji yakikanda, wanazingatia kuwasaidia kufanya uamuzi wakuhama?
Changamoto zaku hamia katika maeneo yakikanda ya Australia ni gani?

Familia yahama Source: E+
Gharama ya maisha inapo endelea kuongezeka katika miji mikubwa, baadhi ya wazazi wame anza kuzingatia uwezekano waku hamisha familia zao katika miji yakikanda ya Australia.
Share