Je mahitaji yapi yanahitajika wakati wa kuhamia mikoani?

Is 2019 the right year to buy a house? Or should I wait for 2020? Source: Getty Images
Kila mwaka takribani Waustralia mia nne wanahama kikazi, elimu, maisha, familia au kufuata huduma bora za jamii. Kama sheria, kanuni na watoa huduma wanaweza kutofautiana kutoka kote nchini; Orodha ya vitu vinavyohitajika vinaweza kufanya uhamisho wako kuwa rahisi.
Share