Idhaa ya Kiswahili ilizungumza na baadhi ya wanachama wa jamii yawarundi mjini Sydney, walio hudhuria sherehe yaku kabidhi mamla viongozi wapya wa jamii hiyo.
Wanachama hao walitueleza ujuzi ambao wanahisi kiongozi mzuri anastahili kuwa nao, kwa ajili yakuongoza jamii au shirika lolote kwa ufanisi.