Kwa sasa serikali ya shirikisho inatafuta maafikiano na nchi 13 zakubadilishana viza, kwa matumaini kuwa maafikiano hayo yanaweza wavutia wafanyakazi wengi.
Idadi ya wafanyakazi ambao wako kwenye likizo yaongezeka katika maeneo ya kikanda, na serikali yataka ongeza idadi ya wafanyakazi hao

Wafanyakazi wa msimu, wavuna matunda shambani Source: AAP
Idadi ya visa zinazo tolewa kwa wanao fanya kazi wakiwa katika likizo nchini Australia, imeongezeka kwa asilimia 20 katika mwaka uliopita.
Share