Wanaume wengi kutoka DR Congo wanajulikana kwa mavazi yao yanayo vutia.
Yemba Fashion ni mkaaji wa Adelaide, Kusini Australia ambaye ni mwana mitindo na mjasiriamali anaye fanya biashara yaku uza mavazi yakipekee jimboni humo.
Katika mazungumzo maalum na SBS Swahili, Bw Yemba alifunguka alivyo vutiwa na aina ya mavazi ambayo yeye huvaa, pamoja na mapokezi ya wanajumuiya wenza kwa jinsi anavyo tupia.