Bunge la Kenya lapiga kura yakutokuwa na imani na waziri wa kilimo na mifugoPlay06:14SBS SwahiliView Podcast SeriesGet the SBS Audio appOther ways to listenApple PodcastsYouTubeSpotifyDownload (5.71MB) Kamati maalum ya bunge la Kenya, imesikiza wasilisho la Mh Jack Wamboka ambaye anataka waziri wa kilimo na mifugo wa Kenya atimuliwe kazini.Mh Wamboka pamoja na mwanasheria wake, wali weka wazi sababu za kumtaka Waziri Franklin Mithika Linturi afutwe kazi. Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.ShareLatest podcast episodesTaarifa ya Habari 9 Mei 2025Adam Bandt akubali kushindwa, asema chama cha Greens kili feli ku kwea mlima EverestTaarifa ya Habari 8 Mei 2025Betty afunguka kuhusu jinsi yaku badilisha viza yako ukiwa Australia