Betty afunguka kuhusu jinsi yaku badilisha viza yako ukiwa Australia

Betty Langat, Mkurugenzi wa shirika la Grace International mjini Dandenong, Victoria.jpg

Wanafunzi wengi wakimataifa wame wasili nchini Australia, kupitia msaada wa mawakala wa uhamiaji.


Betty Langat ni mmoja wa mawakala ambao wamefanikisha ndoto za wanafunzi wengi wakimataifa kutoka Kenya ambao wanasomea nchini Australia kwa sasa.

Katika mazungumzo maalum, Bi Betty alifunguka kuhusu kazi ya mawakala kama yeye, pamoja na shirika la Grace International ambalo amejiunga nalo hivi karibuni baada yakufunga kampuni yake ya mawakala.

Kwa taarifa zaidi kwa kuhusu huduma ambazo Bi Betty hutoa, tembelea tovuti yake: www.graceintlgroup.com

Share