Chama cha Greens cha kabiliana na matokeo yakukatisha moyo katika uchaguzi wa shirikisho

australian_greens_leader_adam_bandt.jpg

Chama cha Greens kina onekana kuwa na viti vichache zaidi ndani ya nyumba ya chini baada ya matokeo ya uchaguzi wa shirikisho wa wikendi iliyo pita ila, wanaweza shikilia usawa wa mamlaka ndani ya Seneti.


Siyo matokeo chama hicho kili kuwa kiki tarajia; matokeo hayo yata unda vipi bunge lijalo pamoja na hatma ya chama cha Greens?

Wakati chama cha Labor kina endelea kusherehekea ushindi wayo mkubwa, chama cha Greens kina endelea kuhesabu gharama ya uchaguzi huo. Kura ya kitaifa ya chama hicho kwa ujumla imesalia imara ila, matokeo ya wagombea watatu hayaja enda upande wao.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.

Share