Serikali ya hamasishwa iongeze idadi ya wakimbizi inayo pokea, wakati mjadala waku punguza idadi hiyo unaendelea kutanda

Wakimbizi wakimbia mapigano kati ya vikosi vya M23 na serikali ya DR Congo karibu na mji wa Goma

Wakimbizi wakimbia mapigano kati ya vikosi vya M23 na serikali ya DR Congo karibu na mji wa Goma Source: AAP

Get the SBS Audio app

Other ways to listen


Published

Updated

By Evan Young
Presented by SBS Swahili, Gode Migerano
Source: SBS


Share this with family and friends


Serikali ya Turnbull ime hamasishwa iunde fursa zingine za kuwapa uhamisho wakimbizi wa ziada nchini Australia, kupitia mradi wa udhamini wa jamii.


Licha ya ripoti za mjadala ndani serikali ya mseto kuhusu mbinu zakupunguza idadiya wahamiaji ambao Australia inapokea, wanaharakati wa haki za wakimbizi wame ihamasisha serikali iunde nafasi za ziada elfu tano katika mradi wakibinadam kila mwaka, nakuiongeza hadi nafasi elfu kumi katika miaka mitano ijayo.


Share