Alipo zungumza na SBS Swahili mjini Sydney, Australia, Iyanii alifunguka kuhusu alivyo ingia katika sekta ya muziki, kinacho shawishi utunzi wa nyimbo zake pamoja na mapokezi aliyo pata.
Alifunguka pia kuhusu kazi anazo jiandaa kuachia, pamoja na tamasha ambazo ame alikwa ndani na nje ya Kenya.
Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.