Je madini ya coltan yata ifaidi au kuigharimu Kenya

A bunch of flushed coltan ore.Coltan ore contains metals of Tantalum and Niobium .

Coltan ore contains metals of Tantalum and Niobium without them the productions of smart phones, laptops and condensers of all other electronic products related to contemporary world. Source: iStockphoto / Nada Bascarevic/Getty Images/iStockphoto

Madini ya Coltan yamegunduliwa katika kaunti sita nchini Kenya, uchimbaji wa madini hayo unatarajiwa kuanza hivi karibuni.


Nako nchini Tanzania, upinzani uliongoza maandamano ukitaka kupanda kwa gharama ya maisha kushughulikiwe na, maoni ya wananchi pamoja na wadau wa demokrasia wasikizwe katika maswala ya sheria ya uchaguzi.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.

Share