Nafasi za baraza la waziri za tangazwa: Nani yuko ndani, nani yuko nje?

Australian Prime Minister Anthony Albanese

Australian Prime Minister Anthony Albanese Source: Getty / Getty Images

Tanya Plibersek ame shushwa cheo nakupewa wizara ya Huduma za Jamii, wakati Anthony Albanese anatangaza baraza lake la mawaziri, atakao fanya kazi nao katika muhula wake wa pili serikalini.


Sehemu kubwa ya baraza la mawaziri limesalia lilivyo kuwa.. pamoja na Richard Marles kusalia katika wizara ya Ulinzi na Naibu Waziri Mkuu, Jim Chalmers ata endelea kuwa mweka hazina, wakati Penny Wong ata endelea kuwa waziri wa mambo ya nje.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.

Share