Jinsi yakujilinda dhidi ya wizi wa utambulisho nchini Australia

cyber risks

Source: AAP

Uhalifu wa utambulisho ni tisho kubwa nchini Australia, ambako kuna ongezeko ya idadi ya watu wanao endelea kuwa waathiriwa wa uhalifu wa utambulisho kila mwaka.


Waathiriwa walioigwa mara nyingi hukabiliwa na matokeo mabaya, yanayo jumuisha hasara zakifedha, uharibifu wa alama zao za mkopo pamoja na athari zakisheria.

Ila kuna hatua unaweza chukua, kupunguza hatari ya taarifa zako binafsi kuibiwa au kutumiwa vibaya.


Share