Licha ya kujulikana kwa nyimbo zake katika lugha yaki Kalenjin, alipo anza kuimba alikuwa aki imba kwa Kiswahili na Kiingereza.
Alipo zungumza na SBS Swahili, Bw Kipsang alifunguka kwa nini aliamua kuacha kutumia Kiswahili na Kiingereza katika nyimbo zako nakuimba katika lugha yaki Kalenjin pekee.
Alifunguka pia kuhusu anavyo sawazisha kuwa msanii wa nyimbo zakidini, wakati anaimba pia nyimbo za dunia.
Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.