Kuwa salama katika jua bila kujali aina ya ngozi yako

Hispanic mother rubbing sunscreen on daughter at beach

Source: AAP

Miongozo ya usalama wa jua imesasishwa kwa mara ya kwanza kujumuisha ushauri kwa aina tofauti za ngozi.


Miongozo hiyo mipya pia inakiri nakusawazisha madhara na manufaa ya jua kwa ngozi ya vikundi tofauti vilivyo hatarini.

Kutoka kupata vitamin D yakutosha na U-V hadi kupunguza hatari ya melonoma, kuna kitu wa Australia wote wanastahili jifunza.

Wakati huo huo, kwa wa Australia wengi ushauri unaendelea kuwa ule ule slip, slop, slap, seek and slide tafsiri yake ikiwa ni vaa mavazi yanayo kufunika vizuri, jipake mafuta yaku kinga jua, na kuwa katika sehemu ya kivuli.

Share