Lydia "ukiwa Africultures nikama umetembea Afrika nzima"

Lydia Chepkemboi katika kibanda cha SBS Audio kwenye tamasha ya Africultures.jpg

Maelfu ya wa Australia wenye asili ya Afrika, kwa mwaka mwingine wali jumuika katika viwanja vya Sydney Olympic Park kuhudhuria tamasha ya Africultures.


Lydia ni mzawa wa Kenya, alipozungumza na SBS Swahili alifunguka kuhusu umuhimu wa tamasha hiyo kwake na marafiki zake.

Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.

Share