M23 na serikali ya DRC kufanya mazungumzo ya ana kwa ana

M23 leader Corneille Nangaa and DRC President Felix Tshisekedi

Credit: Michele Tantussi/Cyrile Ndegeya/Anadolu via Getty Images

Duru za pande hasimu nchini Kongo, zimesema serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na waasi wa M23 wanajiandaa kwa mazungumzo ya ana kwa ana 9 Aprili 2025.


Mkutano huo utakuwa wa kwanza kufanyika moja kwa moja tangu wapiganaji wa M23, kuiteka miji miwili mikubwa ya eneo la mashariki kwenye mashambulizi yaliyowaua maelfu na kuwalazimu mamia kuyakimbia makaazi yao.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.

Share