Taarifa ya Habari 4 Aprili 2025

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili Source: SBS / SBS Swahili

Kiongozi wa chama cha Greens Adam Bandt amerudia sera yake muhimu ya uchaguzi yaku wasilisha matibabu ya meno bure kwa mfumo wa Medicare, akisema wa Australia wanalipa hela nyingi sana kwa huduma muhimu ya afya.


Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Felix Thisekedi, ameondoa adhabu ya kifo kwa raia watatu wa Marekani, waliokuwa wamehukumiwa kifo na sasa watafungwa maisha, kwa kuhusika kwa kile serikali ya Kinshasa ilieleza jaribio la mapinduzi mwaka uliopita.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.

Share