Idadi mpya ya vifo kupitia mvua nzito na mafuriko tangu mwezi ulio pita, imefika watu 140 wakati maelfu zaidi wame hamishwa na mafuriko katika nchi zingine za Afrika Mashariki.
Msemaji kutoka serikali ya Kenya amekana madai kuwa mamia ya watu wamefariki na amesema takwimu rasmi ya vifo kufikia Jumamosi 27 Aprili 2024 ilikuwa watu 76.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.