Mashabiki wapongeza juhudi za vijana wa Kenya, katika kombe la Afrika NSW, Australia

Kenya yashiriki katika kombe la Afrika, Sydney

Vijana wa timu ya soka ya Kenya, washerehekea goli katika kombe la Afrika, jijini Sydney, Australia Source: SBS Swahili

Get the SBS Audio app

Other ways to listen


Published

By Gode Migerano
Presented by Gode Migerano
Source: SBS

Share this with family and friends


Jamii yawakenya wanao ishi mjini Sydney, NSW, Australia, katika siku chache zilizo pita wamekuwa wakifika viwanjani kwa kishindo.


Sababu yao kufika viwanjani ilikuwa kuwapa moyo timu yao, iliyokuwa ikishiriki katika kombe la Afrika, baada ya miaka mingi kuwa jangwani.

Punde baada ya mechi ya mwisho yakundi A, mashabiki hao walichangia maoni yao kuhusu timu yao na Idhaa ya Kiswahili ya SBS.


Share