Hali hiyo imesababishwa pakubwa na kampeni hasi za baadhi ya vyama vya kisiasa, vinavyo tumia dhana potofu kuhusu vijana wenye asili ya Afrika kujaribu kuwavutia wapiga kura.
Katika uchambuzi maalum wa kampeni ya shirikisho iliyo kuwa hivi karibuni, Bw Jeremiah ambaye ni mkaaji wa Melbourne alifunguka kuhusu baadhi ya changamoto ambazo jumuiya zawa Afrika hukabili haswa wakati wa kampeni za uchaguzi.
Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.