Matt "wakenya hawataki Gachagua aondolewe mamlakani"

Bw Matt Gitau.jpg

Wikendi iliyopita wakenya wanao ishi Sydney, New South Wales walijumuika katika kitongoji cha Chester Hill kwa mkutano maalum.


Baadhi ya mada zilizo jadiliwa ni ustawi na maslahi ya wanafunzi wakimataifa, pendekezo la mabadiliko kwa viza za wanafunzi na jinsi yakupata huduma kutoka kwa mawakala wa uhamiaji na ubalozi wa Kenya mjini Canberra.

Bw Matt alikuwa katika kamati ya waandalizi wa mkutano huo, na punde baada ya mkutano kukamilika alifunguka kuhusu maandalizi pamoja na maswala ya kisiasa nchini Kenya ambako zoezi la kumtimua mamlakani, makamu wa rais Rigathi Gachagua lina endelea kwa kina.

Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.

Share