MCA Tricky "Nili ingia katika ucheshi kujibamba"Play08:16SBS SwahiliView Podcast SeriesGet the SBS Audio appOther ways to listenApple PodcastsYouTubeSpotifyDownload (7.57MB) MCA Tricky ni mmoja wa wacheshi maarufu nchini Kenya, kazi zake zina endelea kuwavutia mashabiki wengi.Katika mahojiano maalum na SBS Swahili, MCA Tricky alifunguka kuhusu alivyo ingia katika tasnia ya ucheshi. Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.ShareLatest podcast episodesTaarifa ya Habari 9 Mei 2025Adam Bandt akubali kushindwa, asema chama cha Greens kili feli ku kwea mlima EverestTaarifa ya Habari 8 Mei 2025Betty afunguka kuhusu jinsi yaku badilisha viza yako ukiwa Australia