Idadi ya migahawa iliyo kuwa iki uza vyakula iliongezeka maradufu mwaka huu, na hata mgahawa kama Muzik and Food kutoka Canberra, ACT nao uli kita kambi katika viwanja vya Sydney, Olympic Park kuwapa walio hudhuria hafla kionjo cha vyakula kutoka Botswana na Kenya.
Katika mazungumzo maalum na SBS Swahili, wamiliki wa mgahawa huo wali funguka kuhusu safari yao katika biashara yaku uza vyakula pamoja na mapokezi ya vyakula vyao kwenye tamasha hiyo.
Wateja wao nao pia wali changia hisia zao kuhusu vyakula walivyo nunua kwenye mgahawa huo.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.