Mgomo wamadaktari wa tikisa sekta ya matibabu Kenya

child

Source: Getty / Getty Images/Fly View Productions

Muungano wa Madaktari, Wafamasia na Madaktari wa Meno nchini Kenya (KMPDU) ulizindua mgomo wa kitaifa ukitaka mazingira bora ya kazi na nyongeza ya mishahara Machi 13.


Wiki jana mahakama iliamuru kusitishwa kwa mgomo huo na kutaka mazungumzo yafanyike, lakini KMPDU ilitangaza kwamba itaendeleza hatua yake.

Madaktari hao wanapinga hasa uamuzi wa serikali unaolenga, kupunguza mishahara ya wahudumu wa afya na kurudisha nyuma umri wa kustahiki haki za kustaafu.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.

Share