Kando nakuwa mwigizaji mzuri, Bw Mutua ambaye hujulikiana pia kama Mkurugenzi amepata umaarufu kwa jinsi huwa anateka mioyo na fikra za mashabiki wake, kupitia anavyo simulia hadithi kutoka sehemu tofauti za dunia.
Alipotembelea SBS Swahili, Bw Mkurugenzi alifunguka kuhusu mapokezi yake Australia pamoja na maandalizi ya tamasha zilizo kuwa zinasalia katika ziara yake.
Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.