Nyoka wa Australia na Buibui: Nini chakufanya ziki kuuma

Spider SG photo post -SBS.png

Kinyume na imani maarufu, visa vingi vyaku umwa na buibui nchini Australia, husababisha madhara madogo, na visa vya wanao umwa na nyoka wenye sumu ni nadra pia.


Ila ni muhimu kujua chakufanya, kwa sababu baadhi ya matukio hayo yanaweza kuwa tisho kwa maisha.

Kama tahadhari kwa kesi zote zaku umwa na nyoka, unastahili piga simu kwa namba ya dharura mara moja: 000 iwapo hali itageuka nakuwa dharura.

Share