Patrick ni kijana aliye kuja Australia kwa msaada wa shirika la Umoja wa Mataifa linalo wahudumia wakimbizi nchini Kenya.
Katika mazungumzo na SBS Swahili, Bw Patrick alinguka kuhusu uzoefu wake alipo kuwa mkimbizi hadi alipo wasili nchini Australia.
Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.