Saada afunguka kuhusu umuhimu wakutokomeza ukeketaji

2016/02/06: Women protesting during the International Day against female genital mutilation

Source: Getty / Getty Images

Februari 6 ni siku ya kimataifa ya kutokomeza ukeketaji, mashirika na mamlaka mbali mbali huandaa hafla zakutoa elimu kwa umma kuhusu jambo hilo.


Bi Saada hutoa elimu kwa jamii mjini Sydney, New South Wales na katika mahojiano maalum kuhusu hoja hii, alifunguka kuhusu harakati za kutokomeza ukeketaji nchini Australia na barani Afrika.

Bonyeza hapo kwa mahojiano kamili.

Share