Umuhimu waku jumuisha kujitunza katika maisha yako ya kawaida

Mwanamke atafakari wakati wa mazoezi

Mwanamke atafakari wakati wa mazoezi Source: Getty Images

Kujitunza kuna maana tofauti kwa watu tofauti. Utafiti wakimatibabu unaonesha kuwa, kujitunza hufungua njia kwa ustawi bora kabisa baadae.


Ila, kufanya hivyo si rahisi kwa wanawake wenye majukumu nyumbani, au wanao lea watoto, na nivigumu zaidi kwa wanawake ambao ni wafanyakazi. Makala haya ya mwongozo wa makazi, yanachunguza jinsi yakujumuisha jinsi yakujitunza katika maisha yako ya kawaida.

Weka kipaumbele kwa utuzanji wako binafsi, katika wiki yakitaifa ya wanawake ambayo imekuwa kati ya tarehe 6-10 Septemba. Kwa mbinu zakujitunza, tembelea tovuti hii: www.womenshealthweek.com.au. Kwa msaada wakihemko, pigia simu shirika la Beyond Blue linalo toa huduma kwa masaa 24. Namba yao ni: 1300 22 46 36.

Kupata msaada wa mkalimani bure kwa huduma yoyote, pigia simu huduma la watafsiri na wakalimani (TIS) kwa namba hii 13 14 50 na omba kuzungumza na mtoa hudumu wako mteule. Piga simu kwa namba hii 1800 RESPECT namba hiyo kwa ukamilifu nie 1800 737 732, kama unakabiliwa kwa unyanyasaji wa nyumbani au unyanyasaji wa kingono. Na kama maisha yako, yako hatarini, piga simu kwa 000 mara moja.


Share